Sasa kuna file lina MB 50, nilikua nashusha, na formula ya voda wanaanza kula MB 8 za cheka cha maajabu speed haikushuka, to 40Kb/s baada ya kuishiwa MB8 za ChekaJero bali ilibaki juu kwa sababu nina Subscription ya mwezi ya internet ambayo Ishaisha speed (baada yakutumia GB5)
::::::: naamanisha ningekua nashusha Files zenye 8GB ingewezekana kushuka kwa average speed ya 500KB/s up to700Kb/s kufuatana na location yangu
(sio tena speed ya konokono 40kb/s) , maana bado nina connection ya net ya mwezi mmoja,
:::::::: Hapo nimewaelewa vodacom wanapomaanisha #KaziNikwako na ilo ndilo kosa walilokosea ,na limit utakua umeiweza kwa hizo Mb 8 za cheka WARNING: Usikate connection wakati unadownload iache.... utaweza shusha(download) files zako hata kama GB ngapi ,kwa speed ile ile uliyokua unapata kabla yakutumiwa meseji ya kuwa speed itashuka
#VodacomNimeripotiTatizo
#KablaHamjaritibuNawaoneshaKaziNiKwangu
#MsiniambienayoHiiniCybercrime
#SorryHiiHabariSiwekiTenaHuku
#SoonNatupiaKwenyeBlog
#NajuaWengiHamjanielewa